WAKAZI WA KIWALANI

Tazama Wakazi wa Kiwalani walivyojitokeaza kwa wingi kwenye zoezi la uhandikishaji wa vitambulisho vya wapiga kula asubuhi ya leo mmoja kati ya mkazi wa kiwalani BENIDICTO LIPONDA akatoa kelo yake ''Ufinyu wa vifaa vya uwandikishiaji na kuchelewa kwa wasimamizi wa zoezi husika kuja muda ambao sio maarumu zoezi linaanza saa mbili kamili asubuhi lakini mpaka saa nne hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kujiandikisha na hali hii ni kila siku tangu zoezi lilipoanza'' una yapi yakusema kuusu habari hiii







WAZEE NA VIJANA WAKISUBIRI WAANDIKISHAJI

0 Comments: