MWENGE / KIWALANI Tshirt na Mixtape

Kwa mwenye kuhitaji Tshirt yenye Slogan ya MWENGE / KIWALANI  wasiliana na P The MC kupitia namba hizi 0717-254 451 kwa mtonyo wa 15,000 tu  popote ulipo                  
 Pia unaweza kupakua mix tape mpya ya @pthemc na @zaiidyao inayoitwa "MWENGE KIWALANI" mkito.com Kwa kuingia kwenye link hii DOWNLOAD MIXTAPE HAPA  support!


                                                                 SAMBAZA UPENDO

0 Comments:

SIKILIZA TOT WALIVYOMWIMBIA CAPT. KOMBA …inatia simanzi sana

Kapteni John Damian Komba – Mbunge na msanii nyota wa jana alasiri, alikuwa bingwa wa kutunga kwa haraka haraka nyimbo za majanga ya kitaifa, ikiwemo misiba iliyotingisha nchi, lakini leo hii kwa majonzi makubwa ni zamu yake ya kuimbiwa.
Kundi la TOT jana usiku likaingia studio na kurekodi wimbo “Nenda” ambao ni maalum kwa kumlilia msanii huyo mwenye wasifu wa kipekee katika sanaa hapa nchini na hata kwa nchi jirani.
Abdul Misambano amefanya kazi kubwa katika wimbo huu sambamba na Khadija Kopa na kwa hakika kwa kupitia kazi hii unaweza kuanza kupata picha ya warithi wa Komba. Usikilize hapo chini.DOWNLOAD HAPA

0 Comments: