WAKAZI WA KIWALANI

Tazama Wakazi wa Kiwalani walivyojitokeaza kwa wingi kwenye zoezi la uhandikishaji wa vitambulisho vya wapiga kula asubuhi ya leo mmoja kati ya mkazi wa kiwalani BENIDICTO LIPONDA akatoa kelo yake ''Ufinyu wa vifaa vya uwandikishiaji na kuchelewa kwa wasimamizi wa zoezi husika kuja muda ambao sio maarumu zoezi linaanza saa mbili kamili asubuhi lakini mpaka saa nne hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kujiandikisha na hali hii ni kila siku tangu zoezi lilipoanza'' una yapi yakusema kuusu habari hiii







WAZEE NA VIJANA WAKISUBIRI WAANDIKISHAJI

0 Comments:

SIKILIZA INTERVIEW YA SIR KILLER MC & MIKA MBWAI NDANI YA TIMES FM 100.5

Kwenye kipindi Cha THE  JUMP OFF Cha 100.5 times fm na JABIR SAREH Siku chache zilizopita..





0 Comments:

TAZAMA VIDEO YA P THE MC FEAT.DULLY SYKES & YOUNG KILLER - RUN DSM

 ITAZAME HAPA>>>

0 Comments: