KAA TAYARI KWA UJIO MPYA KUTOKA KWA Sirkiller,feat.The Beatles-MY STORY

wimbo mpya kutoka kwa Sirkiller ''MY STORY'' baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu sasa ameamua kuweka maisha yake wazi ndani ya wimbo huu akiwashirikisha wanamziki wa zamani THE BEATLES kwa mtindo wa chop.. chini ya producer CHIDY KOMBO..Kwa madai ya Sirkiller amesema wimbo huo utakuwa hewani kuanzia tarehe 16/8/2014 kama ilivyo tarehe yake ya kuzaliwa,,,,,

0 Comments: